@sana_rabee91sik iliyopitaTawakkul na Qadr ya Allah 💛As-salamu alaykum - Kufikiria sana ni hile trick ya shaytan. Usiketi na kudhani mengi kuhusu yale yaweza kuwa au kwa nini; usiruhusu ujitumbukize kwenye kukata tamaa. Kila kitu kinatokea kwa Qadr ya Allah swt. Kumbuka Anakuona kile huwezi kuona, Anasikia kile hujasikia, na Anajua kile hujui. Allah s…Onyesha zaidi